Ya kina Hapi, Sabaya, Makonda na verse hii ya DMX (r.i.p)!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema;

"Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"!

Nimejikuta tu nakumbuka siku chache nyuma hao jamaa zangu walivyokuwa na nguvu, kujiamini na kujihisi wako sawa kinguvu na jpm kiasi kwamba waliweza kuwatisha wastaafu wakubwa tu na wengine kufikia kuwadharau wakubwa wao na kujimwambafai kuwa wao wanajiamini zaidi kuliko wao. Ilikuwa hatari sana!!

'That's the bulshit' inaonekana sasa baada ya mambo kubadirika ghafla.....adabu inaanza kurudi katika mkondo wake.

r.i.p DMX

NJE YA MADA KIDOGO!
Mama unamuhitaji Makonda. Atakufaa; atakurahisishia kazi!
 
Heppy aliwaambia wazee wakae kimya, naona yeye ndo kawa kimya, na ukija uteuzi mwingine lazima akakune nazi. Bashite ndo asahau kabisa, sema wanamlinda kuogopa kumpeleka mahakamani wanaogopa kuumbuka kama ya Sabaya.
 
katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema;

"Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"!

Nimejikuta tu nakumbuka siku chache nyuma hao jamaa zangu walivyokuwa na nguvu, kujiamini na kujihisi wako sawa kinguvu na jpm kiasi kwamba waliweza kuwatisha wastaafu wakubwa tu na wengine kufikia kuwadharau wakubwa wao na kujimwambafai kuwa wao wanajiamini zaidi kuliko wao. Ilikuwa hatari sana!!

'That's the bulshit' inaonekana sasa baada ya mambo kubadirika ghafla.....adabu inaanza kurudi katika mkondo wake.

r.i.p DMX

NJE YA MADA KIDOGO!
Mama unamuhitaji Makonda. Atakufaa; atakurahisishia kazi!

Una maana hawa ndugu?

IMG_20220403_063027_732.jpg
 
Awaamini kama dunia imevaa bukta. Walizoea KILA siku ni jumapili
 
Back
Top Bottom