- Thread starter
- #21
Teknolojia imebadilika. Zamani walikuwa wanaandika wao inaenda kuchapwa na Sekretari. Siku hizi haipo hivyo!Wewe jamaa, umeulizwa, vigezo vimebadilika au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teknolojia imebadilika. Zamani walikuwa wanaandika wao inaenda kuchapwa na Sekretari. Siku hizi haipo hivyo!Wewe jamaa, umeulizwa, vigezo vimebadilika au ?
Acheni mambo ya kikale!Mkuu unafahamu PhD ninini ? And what does it take for one to get that award ? We we umetumwa kama chawa tu
Teknolojia imebadilisha. Zamani unatuma hardcopy na siku hizi unaweza kumtumia supervisor kazi yako kwa email.Prof. kauliza swali rahisi tu; vigezo vya PhD vimebadilika? Badala ya kujibiwa with facts mnademka.
... kwa kweli hili ni suala la mjadala wa kitaaluma. Haya ndio mambo wanataaluma wanatakiwa wajadili sio kuwaza teuzi.Teknolojia imebadilisha. Zamani unatuma hardcopy na siku hizi unaweza kumtumia supervisor kazi yako kwa email.
Akina Mwandosya hawataki haya! Mie juzi juzi nimemkuta mdada ninadhani ana kama 26 yrs ni MD II yaani alivyonihudumia mpaka nikamwamnia Mwenyezi Mung akubariki sana mwanangu. Sasa huyu kuwa na PhD katika umri wa miaka 31 hadi 33 sio ajabu kabisa!Dunia inebadirika sana. Zamani wakati unawasilisha andiko lako la shahada ya uzamifu mbele ya jopo la maprofesa waliobobea. Nje kulikuwa na ambulance inasubiria kama ukizidiwa upate huduma. Maana wengine walikuwa wakianguka na kuzimia. Lkn siku hizi watu wanawasilisha vizuri, hata opponent wako anauliza very logical questions. Hakuna kukamiana. Na hilo lazima tulizoee, mfano hata ukienda hospitali utakutana na madaktari wadogo, mpaka unasema hawa wamehitimu lini tena!?? Maana wana umri mdogo. Tofauti na tulivyozoea miaka ya nyuma kuona madaktari wazee wazee.
Hata waendesha pikipiki siku hizi ni vijana, tofauti na zamani.
Kwa hiyo siku hizi mtazamo na namna ya kufanya mambo mengi imebadilika sana.
Akina Mwandosya hawataki haya! Mie juzi juzi nimemkuta mdada ninadhani ana kama 26 yrs ni MD II yaani alivyonihudumia mpaka nikamwamnia Mwenyezi Mung akubariki sana mwanangu. Sasa huyu kuwa na PhD katika umri wa miaka 31 hadi 33 sio ajabu kabisa!
Dahh ila huyo bingwa acha kabisa! Halafu ni Commandoo!Yaa, mambo yanabadirika sana. Siku hizi watoto waliozaliwa miaka ya 90, ndiyo ambao wengi wanatoa huduma za kibingwa. Ni madaktari wanaoendelea kukomaa kiutaalam kama ulivyosema pale juu.
Mfano unakumbuka yule mjeda (mjeshi) mmoja ambaye ana Phd ya architecture huku ni Mchungaji au kiongozi wa dini. Kuwa multi task inawezekana.
Kwani prof ni nani? Si hawa hawa tunashindanao tunakunywa matap tap mtaani. Njoo huku manzeshe tunashinda na Dr waitama bar na Jana alikuwa amelewa tilalila tumembeba mpaka nyumbani. Na Leo tutakuwa wote pale tiptop bar njoo ujionee wasomi wako unaowanyenyekea na tunamnywesha Mana hana kitu.Mitandao bana, unaweza kukuta darasa la saba B anamuattack professor bila wasiwasi kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dahh ila huyo bingwa acha kabisa! Halafu ni Commandoo!
Wewe mjinga nenda shuleEti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao ambazo hazikuwa na teknolojia kama ya sasa.
Hawa waliamini katika kusoma kwa muda mrefu badala ya kuangaliwa kilichozalishwa.
Mambo yamebadilika sana sana Prof. Mwando - siku hizi facilities za kukufanya ufanye faster ni nyingi mno. Hata baadhi ya vyuo wameliona hilo na tayari wamefanyia kazi.
Mf. wakati wUD, SAUT, UDOM, SAUT wamekomaa na kuwatumikisha kimasomo miaka minne kwa kozi za Sheria wenzao wanaMZUMBE, TUMAINI, n.k wanasoma miaka mitatu tu na huko makazini wako njema sana sana.
Prof. Mwandosya pls acha kuwashambulia wenzio kula pensheni yako