Ya kina Mwandosya nayo yamepitwa na wakati! Angalau yupo!

Prof. kauliza swali rahisi tu; vigezo vya PhD vimebadilika? Badala ya kujibiwa with facts mnademka.
Teknolojia imebadilisha. Zamani unatuma hardcopy na siku hizi unaweza kumtumia supervisor kazi yako kwa email.
 
Teknolojia imebadilisha. Zamani unatuma hardcopy na siku hizi unaweza kumtumia supervisor kazi yako kwa email.
... kwa kweli hili ni suala la mjadala wa kitaaluma. Haya ndio mambo wanataaluma wanatakiwa wajadili sio kuwaza teuzi.
 
Dunia inebadirika sana. Zamani wakati unawasilisha andiko lako la shahada ya uzamifu mbele ya jopo la maprofesa waliobobea. Nje kulikuwa na ambulance inasubiria kama ukizidiwa upate huduma. Maana wengine walikuwa wakianguka na kuzimia. Lkn siku hizi watu wanawasilisha vizuri, hata opponent wako anauliza very logical questions. Hakuna kukamiana. Na hilo lazima tulizoee, mfano hata ukienda hospitali utakutana na madaktari wadogo, mpaka unasema hawa wamehitimu lini tena!?? Maana wana umri mdogo. Tofauti na tulivyozoea miaka ya nyuma kuona madaktari wazee wazee.

Hata waendesha pikipiki siku hizi ni vijana, tofauti na zamani.

Kwa hiyo siku hizi mtazamo na namna ya kufanya mambo mengi imebadilika sana.
 
Akina Mwandosya hawataki haya! Mie juzi juzi nimemkuta mdada ninadhani ana kama 26 yrs ni MD II yaani alivyonihudumia mpaka nikamwamnia Mwenyezi Mung akubariki sana mwanangu. Sasa huyu kuwa na PhD katika umri wa miaka 31 hadi 33 sio ajabu kabisa!
 
Akina Mwandosya hawataki haya! Mie juzi juzi nimemkuta mdada ninadhani ana kama 26 yrs ni MD II yaani alivyonihudumia mpaka nikamwamnia Mwenyezi Mung akubariki sana mwanangu. Sasa huyu kuwa na PhD katika umri wa miaka 31 hadi 33 sio ajabu kabisa!

Yaa, mambo yanabadirika sana. Siku hizi watoto waliozaliwa miaka ya 90, ndiyo ambao wengi wanatoa huduma za kibingwa. Ni madaktari wanaoendelea kukomaa kiutaalam kama ulivyosema pale juu.

Mfano unakumbuka yule mjeda (mjeshi) mmoja ambaye ana Phd ya architecture huku ni Mchungaji au kiongozi wa dini. Kuwa multi task inawezekana.
 
Dahh ila huyo bingwa acha kabisa! Halafu ni Commandoo!
 
Nothing is impossible under the sun πŸ˜‚
Study HARD vs Study SMART
"Analogy" vs "digital"πŸ’ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘
 
Mitandao bana, unaweza kukuta darasa la saba B anamuattack professor bila wasiwasi kabisa.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani prof ni nani? Si hawa hawa tunashindanao tunakunywa matap tap mtaani. Njoo huku manzeshe tunashinda na Dr waitama bar na Jana alikuwa amelewa tilalila tumembeba mpaka nyumbani. Na Leo tutakuwa wote pale tiptop bar njoo ujionee wasomi wako unaowanyenyekea na tunamnywesha Mana hana kitu.
 
Wewe mjinga nenda shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…