Lipwebwete
Member
- Apr 14, 2021
- 41
- 73
Mkasa wa KWEKA na mkewe uliopelekea kutoana uhai kijeshi ni simulizi inayozua maswali mengi, maoni mseto shuhuda anuai na shauri mbalimbali.
Swali lililoulizwa sana ni....
"Kwa nini Kweka amemuua mkewe mrembo kiasi kile kwa risasi?"
Je hakukuwa na namna nyingine ya kutatua changamoto zao kabla ya kufikia hatua hiyo?
Maswali yangu kutokana na mkasa huo ni
• Je, ndoa za Sasa ni ngumu kuzihandle kuliko za zamani?
• Kwa nini inaonekana suala la mapenzi (wivu wa kimapenzi kama wanavyosema) limekuwa la kiwendawazimu kwa kiwango hicho?
• Je sababu hasa ni nini?... Ni utandawazi? Ni nakisi katika malezi ya watoto?
Nini hakipo sawa?..... Tudadavue