ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Muda si mrefu nilkuwa matembezi ya usiku mitaa ya kirumba mwanza bar moja inaitwa shooters
huku nikisukumia pilsner king za 1,500(alcohol 7.6) ili kichwa kichangamke haraka na kusahau kero za kibashitebashite zinazoibuka kila siku awamu hii,mara nikaona naguswa bega
Lahaula ni adui yangu mkubwa wa miaka 2 iliyopita ,huko maeneo ya sinza dsm,dada huyu alikuwa na grocery mitaa mori sasa ilikuwa kipindi cha uchaguzi yeye alikuwa magufuli damudamu,mimi mwanamabadiliko kuna siku akanibambikia bill nikagoma,kumbe njemba lake ni askarii mabatinii kapiga simu nikaja zolewa,sikuwahi kumsamehe yule dada.
kanipa kisa cha yeye kuja mwanza,kaja kusaka life,biashara ya grocery imekuwa impossible,karudisha frame,nyumba ya urithi waliyokuwa wanakaa kimara suka imevunjwa na utawala wa wanyonge,hataki kusikia lolote kuhusu awamu hii,ame give up vibaya mno
kimoyomoyo nilimcheka huku kwa nje nikijifanya namuonea huruma,nikamnunulia na hizo pilsner 3 ingawa alitaka castle lager nilimuambia sinunui beer ya zaidi ya 1,500 tshs.
Adiooos Amigooo.