Ya leo kali,nimekutana na mdada huyu anajuta

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Muda si mrefu nilkuwa matembezi ya usiku mitaa ya kirumba mwanza bar moja inaitwa shooters
huku nikisukumia pilsner king za 1,500(alcohol 7.6) ili kichwa kichangamke haraka na kusahau kero za kibashitebashite zinazoibuka kila siku awamu hii,mara nikaona naguswa bega
Lahaula ni adui yangu mkubwa wa miaka 2 iliyopita ,huko maeneo ya sinza dsm,dada huyu alikuwa na grocery mitaa mori sasa ilikuwa kipindi cha uchaguzi yeye alikuwa magufuli damudamu,mimi mwanamabadiliko kuna siku akanibambikia bill nikagoma,kumbe njemba lake ni askarii mabatinii kapiga simu nikaja zolewa,sikuwahi kumsamehe yule dada.
kanipa kisa cha yeye kuja mwanza,kaja kusaka life,biashara ya grocery imekuwa impossible,karudisha frame,nyumba ya urithi waliyokuwa wanakaa kimara suka imevunjwa na utawala wa wanyonge,hataki kusikia lolote kuhusu awamu hii,ame give up vibaya mno
kimoyomoyo nilimcheka huku kwa nje nikijifanya namuonea huruma,nikamnunulia na hizo pilsner 3 ingawa alitaka castle lager nilimuambia sinunui beer ya zaidi ya 1,500 tshs.
Adiooos Amigooo.
 
Keshanyooka Huyo...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujaeleweka! Baada ya plisner tatu mliachana vipi, au ulikusudia kutujulisha kambi zenu tofauti wakati wa uchaguzi wa 2015, au kipondo ulichokipata kutoka kwa ripolisi la mabatini?
 
Kilichofuata baada ya hapo ni kipi? Au uliishia hapo?
 
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
Hujakosea Subiri ufulie utasikia maneno ya watu Yule alikuwa hivi Mara vile utabambikiwa sifa mbaya ambazo sio za kwako .hata kama ulikuwa na msaada kwao
 
Ok
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
 
Safi kabisa,laana inaanza kuwatafuna waliomchagua ikimaliza hapo inaenda kwa muhusika Mkuu aliechaguliwa.
 
Baada ya kunywa hizo bia alilewa chakali,.....akapoteza network nikaondoka nae kwenda lodge ya bei nafuu,...nikaagiza condom nikapiga shoo za kibabe mpaka asubuhi.....mdada alisalute akasema hamtaki tena yule mjeda hasa ukizingatia mjeda mwenye ni wale watu wa dsm chipsi nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii.....akaomba no. ya cm kwa mawasiliano nikampa feki....tukaagana.....nadhan atakua ananitafuta sipendag ujinga...story imeishia hapa.....

......jamani nilikuwa naota tu muendelezo wa hiyo story mie sio mtoa uzi
 
Back
Top Bottom