Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Vyuma vimekaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama yule jamaa kwenye 3 idiots.Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
Ahahshahahaaaa!!! Kweli mkuu yani umenijumbusha sana yan me cpendi maclass mates wangu ukikutana naye utasikia uko wapi now? Yani ikauri siipendi me nawajibu in short kama unavyo niona manake ukisema upo sehemu Fulani habari itasambaa na kuanza tangaza njaaaSifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
Mbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.Ahahshahahaaaa!!! Kweli mkuu yani umenijumbusha sana yan me cpendi maclass mates wangu ukikutana naye utasikia uko wapi now? Yani ikauri siipendi me nawajibu in short kama unavyo niona manake ukisema upo sehemu Fulani habari itasambaa na kuanza tangaza njaaa
haha kweli kabisa watu wanapenda sana kusikia umefulia roho zao inauuzika kabisa hii tabia iko sana mtu anakutafuta aone tu muonekano wako kama umenenepa/umekonda, uko smart au rafu rafuMbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.
Hahahahahahahahaaaaaaaa naona umekuwa msemaji wake sasa......my ribsBaada ya kunywa hizo bia alilewa chakali,.....akapoteza network nikaondoka nae kwenda lodge ya bei nafuu,...nikaagiza condom nikapiga shoo za kibabe mpaka asubuhi.....mdada alisalute akasema hamtaki tena yule mjeda hasa ukizingatia mjeda mwenye ni wale watu wa dsm chipsi nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii.....akaomba no. ya cm kwa mawasiliano nikampa feki....tukaagana.....nadhan atakua ananitafuta sipendag ujinga...story imeishia hapa.....
......jamani nilikuwa naota tu muendelezo wa hiyo story mie sio mtoa uzi