Ya leo kali,nimekutana na mdada huyu anajuta

Ya leo kali,nimekutana na mdada huyu anajuta

bavicha huwa wanajipa matumaini kwa mambo ya kijinga kabisa.
 
Ungempatiaa tuu hiloo chaguo lake la Moyo mkuu Castol Lager
 
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
kama yule jamaa kwenye 3 idiots.
 
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
Ahahshahahaaaa!!! Kweli mkuu yani umenijumbusha sana yan me cpendi maclass mates wangu ukikutana naye utasikia uko wapi now? Yani ikauri siipendi me nawajibu in short kama unavyo niona manake ukisema upo sehemu Fulani habari itasambaa na kuanza tangaza njaaa
 
Mbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.
 
HV wewe,unadanganya mchana kueupe pitia story yako AF uje upya,,,,,,
 
Mbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.
haha kweli kabisa watu wanapenda sana kusikia umefulia roho zao inauuzika kabisa hii tabia iko sana mtu anakutafuta aone tu muonekano wako kama umenenepa/umekonda, uko smart au rafu rafu
 
Maisha bwana, ukicheka utaona wengi wanacheka na ukilia unaona wengi wanalia nawe kumbee wanatamani ufe wasikuone tena!!!!! Hizi siasa zisitufanye tupoteze ubinadamu!!!!

Namba tunaisoma woote
 
Baada ya kunywa hizo bia alilewa chakali,.....akapoteza network nikaondoka nae kwenda lodge ya bei nafuu,...nikaagiza condom nikapiga shoo za kibabe mpaka asubuhi.....mdada alisalute akasema hamtaki tena yule mjeda hasa ukizingatia mjeda mwenye ni wale watu wa dsm chipsi nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii.....akaomba no. ya cm kwa mawasiliano nikampa feki....tukaagana.....nadhan atakua ananitafuta sipendag ujinga...story imeishia hapa.....

......jamani nilikuwa naota tu muendelezo wa hiyo story mie sio mtoa uzi
Hahahahahahahahaaaaaaaa naona umekuwa msemaji wake sasa......my ribs
 
Back
Top Bottom