Ya leo kali,nimekutana na mdada huyu anajuta

bavicha huwa wanajipa matumaini kwa mambo ya kijinga kabisa.
 
Ungempatiaa tuu hiloo chaguo lake la Moyo mkuu Castol Lager
 
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
kama yule jamaa kwenye 3 idiots.
 
Sifa kuu ya waTz kushangilia mwenzao mambo yakiharibika. Ndio maana mtu utasikia anatafuta aliosoma nao utafikiri anawajali sana kumbe anataka kujua wana hali gani, akikuta wana hali mbaya nafsi yake inasuuzika.
Ahahshahahaaaa!!! Kweli mkuu yani umenijumbusha sana yan me cpendi maclass mates wangu ukikutana naye utasikia uko wapi now? Yani ikauri siipendi me nawajibu in short kama unavyo niona manake ukisema upo sehemu Fulani habari itasambaa na kuanza tangaza njaaa
 
Mbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.
 
HV wewe,unadanganya mchana kueupe pitia story yako AF uje upya,,,,,,
 
Mbaya zaidi mwingine ukimwambia uko sehemu nzuri unaona kabisa anakuwa disappointed! Hadi ndugu wengine wana tabia hizi.
haha kweli kabisa watu wanapenda sana kusikia umefulia roho zao inauuzika kabisa hii tabia iko sana mtu anakutafuta aone tu muonekano wako kama umenenepa/umekonda, uko smart au rafu rafu
 
Maisha bwana, ukicheka utaona wengi wanacheka na ukilia unaona wengi wanalia nawe kumbee wanatamani ufe wasikuone tena!!!!! Hizi siasa zisitufanye tupoteze ubinadamu!!!!

Namba tunaisoma woote
 
Hahahahahahahahaaaaaaaa naona umekuwa msemaji wake sasa......my ribs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…