Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Naona unalazimisha gametiuke kufanana na gametiume katika usawa wa tabia kama vile wewe ndiye unayetujua vzr sana Wanaume kuliko sisi wenyewe tunavyojijua kiuhalisia wa tabia zetu.
Kwani ww ndiye uliyetuumba hadi ulazimishe tuwe wa kulialia kama ninyi Wanawake?
Wewe ni ubavu wa Mwanaume tu, usitake ufanane kila kitu na aliyekutangulia kuumbwa sababu hujui kipi alichofinyangwa nacho Adamu tokana na udongo alipoumbwa na Mungu.
Na hata Biblia ilishakueleza kuwa Mwanaume kaumbwa kwa utukufu wake Mungu bali wewe uliumbwa kwa utukufu wa Mwanaume.
Please and please don't try to transform natural white colour to be translated into black colour appearance, it will never ever happen forever and always.
Alicholilia MC Pilipili ni ujinga kabisa ambao haujaleta picha nzuri hata kwa Wakwe zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
mnhhhhh sasa kwa nini Mungu alimuumba mwanaume na machozi kama hatakiwi kulia???