Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali


mnhhhhh sasa kwa nini Mungu alimuumba mwanaume na machozi kama hatakiwi kulia???
 
Tofautisha kulia na kutoa machozi. .. Ukikata kitunguu unatoa machozi but hakuna feeling yoyote ya kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza mwanamke awe analia na mume anambembeleza sio mume kulia halafu mke awe anambembeleza mme ni tatizo kubwa.
Yaani hata wapatwe na matatizo kama msiba basi mme Ndo analia mke anambembeleza.
Mwanaume kujikaza kalilie ndani sio hadharani unalia unalilia nini hasa.
Mwanaume nikuwa makini na mambo ya msingi na kutoingiza utoto na maigizo kwenye maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sawa,..turudi kwenye topic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulia sio udhaifu ila mwanaume kulia tena mbele ya kadamnasi na hasa ktk jambo kama lile sio kawaida.

Nikitumia mfano wako, ukiwa msibani na mmeo halafu wewe na mmeo mkaanza kulia wote, mmeo atashangawa.Mwanaume hana budi kuficha hisia zake pale inapobidi ili kuwatia moyo wanaomzunguka au kuwaepusha na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuna mitazamo inayokinzana,siwezi kumuona mwanaume anayelia ni dhaifu,na siwezi kumdharau,sikushangai lakini kama umekuzwa ukiaminishwa mtoto wa kiume halii..utaendelea kuwa mkubwa ukiamini hivyo hivyo...
Ni hivi Rebecca,

Nadhani unaamini mwanaume ndiye kichwa cha familia.Sasa kuna nyakati ngumu ambapo labda hela hamna halafu linatokea jambo ambalo linahitaji hela nyingi halafu ukifika tuu nyumbani unaambiwa mtoto alirudishwa ada na mama anakukumbushia hitaji lake.Inabidi ubehave as if everything is under control hata kama hujui utafanyaje.Na sio kujifungia chumbani na kuanza kulia mbele ya mkeo eti hauna hela.

Mmepata shida kama familia, hata kama imekuumiza, inabidi wewe ndiwe uanze kuwatia wenzio moyo.

Bahati mbaya mtoto wenu wa pekee mliyekua mkimsubiria kwa hamu bahati mbaya mama akajifungua mtoto akiwa amefariki, hapa inabidi uwe mstari wa mbele kumtia moyo mkeo n.k

Sasa kwenye mazingira kama haya(na yanayofanania hayo) ukianza kulia huo ndio udhaifu tunaozungumzia hapa.Baba ukianza kulia, mkeo afanyeje sasa?

Unawatia moyo wanaokuzunguka halafu baadae unatafuta faragha ya kujituliza kwa kinywaji, marafiki n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina
 
Yani sijui hii dunia inatupeleka wapi na hivi viumbe vyetu ss hv ktk hii karne ya kizazi cha kuigaiga kila aina ya upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vzr sana Chifu, asipokuelewa hapa achana naye, maana "si kila Mwanamke ni Mke".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"NIMEAMINI KWELI SI KILA MWANAMKE NI MKE"

MWANAMKE NI UMBILE ZURI LENYE JINSIA YA KIKE NA MAZIWA TU LKN TABIA NI 0% KABISA KICHWANI MWAKE.

MKE NI UMBILE ZURI LENYE UELEWA WA TOFAUTI WA THAMANI YAKE NA MUME WAKE KUANZIA USIMAMIZI WA FAMILIA(KICHWA) NA REACTION ZAKE KWA KILA JAMBO.

HIVI HUJIULIZI KWANINI WANAUME TUNAWEZA KUKOSANA HATA TUKAPIGANA KABISA HADHARANI NA TUKATOANA NGEU, LAKINI BAADA YA MUDA MFUPI TU TUKAELEWANA VYEMA SANA TENA HATA KUWEZESHANA KIUSHAURI, KIKAZI NA HATA KIUCHUMI?

WANAWAKE HUWA MKO HIVYO MKIKOSANA AU MWAWEZA KUKAA HADI KUFA NA BADO TU MKAWA HAMTHUBUTU HATA KUSALIMIANA?

BADO TU KWA MFANO WA HIZO REACTIONS KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE HUJAELEWA JINSI GANI HATUWEZIFANANA KAMWE KITABIA SAWA NA MC PILIPILI ALIVYOTUDHALILISHA KWA UJINGA WAKE WA KULIALIA MBELE ZA WATU AKIPIGA MAGOTI CHINI KISA MCHUMBA WAKE?

NDIYOMAANA RAHABU ALIKUWA MWANAMKE MZURI KWA TABIA NJEMA HADI ALIOKOA WATUMISHI WA MUNGU KWA KUWAFICHA NDANI MWAKE DHIDI YA MAADUI LAKINI HAIKUWA KIGEZO CHA KUOLEWA ZAIDI YA KUBAKIA NA UKAHABA WAKE MPAKA UZEENI.

"SI KILA MWANAMKE NI MKE"

MC PILIPILI KATUDHALILISHA SANA WANAUME MARIJALI"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwaambie kitu ,huko kulia mi sina tatizo
Lkn niwaambie ukweli wadada wenzangu usikubali mwanaume akupigie goti instead wewe ndo upige goti sbb hii ni mbaya sana,unamfanya mwanaume kuwa chini yako ambapo effect utaiyona badae,mwanaume ni kichwa,anapopiga goti manaake unamshusha!
Halafu mnashangaa kwann hawatimizi majukumu si nyie mnataka kuwa juu yao,timizemi kila kit u ss si mmechukua nafasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23]nimecheka
Sjira niliyoiypna mi ni kupiga goti ,sio nzuri kabisa,mi km mdada ndo natakiwa kupiga goti!
Mwanaume ni kichwa,ukipiga goti unamuweka chini yako!
Asikiae na afahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo anawaolea watu na siyo siri.....ndiyo maana hata yeye anajua hilo ..lipo nje ya uwezo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…