Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Hata YANGA leo walijua wangepata ushindi mzito sana lakini kilichowakuta kila mtu anajua, pia haitakuwa ajabu kwa kipigo kama hiki kuwashukia Chadema hapo OctoberChadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Ccm kitawanunuliaHivi act ana wanachama kweli huku bara au?
Endelea kuota ndoto za alinacha.Hata YANGA leo walijua wangepata ushindi mzito sana lakini kilichowakuta kila mtu anajua, pia haitakuwa ajabu kwa kipigo kama hiki kuwashukia Chadema hapo October
Hiyo ilikua zamani Mkuu, enzi za Dk. Slaa. Sasa hivi CDM mpaka baadhi ya Wabunge wao waliondoka wakiwa hawana taarifa yoyote.Tunajitambua kuliko unavyofikiri, chadema ina jua kunusa hatari pengine kuliko hata nyinyiem
Jibu unalo?Wewe ni msemaji wa chadema?
chadema huwezi fanya kitu tusijueHiyo ilikua zamani Mkuu, enzi za Dk. Slaa. Sasa hivi CDM mpaka baadhi ya Wabunge wao waliondoka wakiwa hawana taarifa yoyote.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Una mawazo ya kisavimbi kama jina lako lilivyo. Jamaa baada ya jeshi lake kusambaratishwa, badala ya kujisalimisha akaendelea kupambana msituni mpaka akauawa kama mbwa koko.Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Chadema inaenda kuchukua nchi. Amini maneno yangu. October serikali inaenda kuwa chini ya ChademaChadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Ha haaa.. unafanya kufuru. Mnajipa uwezo wa mungu. Eti hakuna kitu kifanyike msijue. Yamefanyika mangapi hamjayajuachadema huwezi fanya kitu tusijue
Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Propaganda mfu hizi.Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Hapa ndipo CHADEMA wanapokosea. Waneni hunena IT IS NOT ALWAYS ABOUT YOU. Ukishindwa kupambana na dhana hii utajikuta hata ukiwa unapita barabarani kisha watu wakacheka utadhani wanakucheka wewe.Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Ila CHADEMA muache kulalamika jamani, nyie mkifanya sawa wengine wakifanya wanataka CHADEMA ife. Je vipi mlipomchukua lowassa?Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!