MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #21
Wasubirie wenye Simba SC yao hapa JF wakija watakujibu ila Mimi kama Mpemba nikiwa hapa Pemba sishabikii Simba SC wala Yanga SC nipo Kati.Kwa hiyo mlikuwa mnasikilizia muingie kwenye makundi. Au baada ya kupata pesa ya kuingia kwenye makundi
Na kuna Kipengele kimewekwa akitakiwa na Yanga SC basi wailipe Simba SC Tsh 2 Billion, ila akitakiwa na Azam FC au Namungo FC ataenda bure.Kwa hiyo ni mitatu tena.
Wewe na Uzungu wako mbona upo Tandale?Mudi mswahili sana
Wewe na Uzungu wako mbona upo Tandale?
Kweli kabisa hata sisi mashabiki wa mnyama tumeona Hilo ndio maana 3 tena kwake.Na ukitaka kujua kaisha kwelikweli angalia yale maasisti yake na yale mapasi mpenyezo anayopiga,utagundua huyu CCC kaisha,hata akienda utopoloni hatapata namba first eleven.Chama ameshaisha! Yupo Goigoi sana siku hizi!
We siyo shabiki,Bali unashangilia timu inayoshinda.na km uko katikati basi ww unatumika nyuma na mbele.🤣🤣🤣🤣Wasubirie wenye Simba SC yao hapa JF wakija watakujibu ila Mimi kama Mpemba nikiwa hapa Pemba sishabikii Simba SC wala Yanga SC nipo Kati.
Anashindia vigondiWewe na Uzungu wako mbona upo Tandale?
Wataongezewa na Bwallya kabisa ila sio aende uto.Na kuna Kipengele kimewekwa akitakiwa na Yanga SC basi wailipe Simba SC Tsh 2 Billion, ila akitakiwa na Azam FC au Namungo FC ataenda bure.
Kishingo kwenda Morocco nayo ni ishu kumbe?Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
Sababu ni hii punieto yao ya kila sikuJapo Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC bali ni wa Taifa Stars tu naomba kujua ni kwanini Suala hili la Chama Kusinya / Kusaini limewauma Yanga SC?