Ya Moto Moto: Clatous Chota Chama aongeza Mkataba na Simba SC kwa Miaka mingine Mitatu

Ya Moto Moto: Clatous Chota Chama aongeza Mkataba na Simba SC kwa Miaka mingine Mitatu

Kwa hiyo mlikuwa mnasikilizia muingie kwenye makundi. Au baada ya kupata pesa ya kuingia kwenye makundi
Wasubirie wenye Simba SC yao hapa JF wakija watakujibu ila Mimi kama Mpemba nikiwa hapa Pemba sishabikii Simba SC wala Yanga SC nipo Kati.
 
Chama ameshaisha! Yupo Goigoi sana siku hizi!
Kweli kabisa hata sisi mashabiki wa mnyama tumeona Hilo ndio maana 3 tena kwake.Na ukitaka kujua kaisha kwelikweli angalia yale maasisti yake na yale mapasi mpenyezo anayopiga,utagundua huyu CCC kaisha,hata akienda utopoloni hatapata namba first eleven.
 
Wasubirie wenye Simba SC yao hapa JF wakija watakujibu ila Mimi kama Mpemba nikiwa hapa Pemba sishabikii Simba SC wala Yanga SC nipo Kati.
We siyo shabiki,Bali unashangilia timu inayoshinda.na km uko katikati basi ww unatumika nyuma na mbele.🤣🤣🤣🤣
 
Japo Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC bali ni wa Taifa Stars tu naomba kujua ni kwanini Suala hili la Chama Kusinya / Kusaini limewauma Yanga SC?
Sababu ni hii punieto yao ya kila siku
IMG-20210110-WA0000.jpg
 
Watamsajili chama mwingine anefahamika"Kandambili Cretos Chama"wa kwa Buza kwampalange.
 
Back
Top Bottom