Ya Ukraine yametokea na Gaza.Kamanda aliyekufa tangu 2014 apatikana hai akiongoza mapambano.

Ya Ukraine yametokea na Gaza.Kamanda aliyekufa tangu 2014 apatikana hai akiongoza mapambano.

Wafuatiliaji wa vita watakumbuka kule Ukraine siku jeshi la Zelensky lilipotangaza kifo cha kamanda wa jeshi la wanamaji wa Urusi,general SOKOLOV halafu siku ya tatu yake akaonekana yuko hai kwenye kikao akifuatilia mada ya mkutanoni.Kwa butwaa Ukraine ikasema ilikuwa ni picha yake kutoka chumba cha maiti kwa vile alikuwa haongei.
Kuna kamanda mwengine wa ngazi za juu wa Hamas ambaye kwa mbwembwe kubwa jeshi la Israel lilitangaza limemuua katika vita vya mwaka 2014 .Kamanda huyo ni Mohammed Sinwar ambaye ni ndugu wa kiongozi wa Hamas wa sasa huko Gaza,Yahya Sinwar.
Katika tangazo lake mwaka huo jeshi la Israel lilimuonesha Mohammed Sinwar akiwa maiti katikati ya dimbwi la damu na kutangaza ubora wa silaha zao usiokosea shabaha.
Kilichofuatia ni kuondoka kwenye fikra za watu kuhusu kamanda huyo ambaye katika vita vya mwaka 2011 alifanikisha pakubwa kuachiliwa kwa wafungwa 1000 nzima wa kipalestina kubadilishana na askari wa Israel,Gilad Shalit aliyekuwa akishikiliwa mateka.
Miongoni mwa wafungwa waliokuwa juu katika orodha ya mateka hao 1000 wa kipalestina ni Yahya Sinwar ambaye ndiye kiongozi wa sasa wa Hamas.
Baada ya tangazo hilo Mohammed alipotea machoni mwa wapalestina na hata miongoni mwa wanafamilia wake akiwa amejichimbia kwenye kazi zake za kiofisi
Miaka 10 mbele na kwa mshangao mkubwa baada ya shambulio la oktoba 7 jeshi la Israel limegundua kuwa Mohammed Sinwar bado yupo hai na kitengo chake cha kazi ni kile kile cha kuteka na kushikilia mateka katika vita pamoja na kutunza orodha za wafungwa wa kipalestina wanaotakiwa kubadilishana na mateka hao kutoka Israel
Hii kwa mara nyengine inadhihirisha kuwa jeshi la Israel na kitengo chake cha intelijensia cha Shinbet hawana uwezo wa Mungu wa kujua kila kitu kinachotokea miongoni mwao na jirani zake kama ambavyo wamekuwa wakisifiwa.Na kwamba wapalestina wamepata mbinu za kupambana nao.
Ushahidi mwengine ni kudukuliwa kwa mfumo wote wa ulinzi wa Israel mnamo tarehe 7 Oktoba na kufanikiwa kwa shambulio wenyewe waliloliita la kushtukiza kutoka kwa Hamas.

View attachment 2811123

Hamas chief ‘back from dead’ to lead attack

Hata akifufuka mara mia moja,kipigo Kiko mumo kwa pale hadi waimbe.
 
Ukiwa hater wa aina hii hata wale waliokuwa wanakuonea huruma na kukuunga mkono watakuacha uendelee kula kichapo. Uwezo hamna ila kutwa nzima kujazana ujinga, kueneza chuki na kupeana matumaini hewa. Ndiyo maana MK254 anakutukaneni sana humu jukwaani.

Wala sijawahi kuwatukana, huwa nawaambia ukweli wao maana wamejazwa chuki....wanapenda kulazimisha ugomvi hatimaye wanalia lia.
 
Ukiwa hater wa aina hii hata wale waliokuwa wanakuonea huruma na kukuunga mkono watakuacha uendelee kula kichapo. Uwezo hamna ila kutwa nzima kujazana ujinga, kueneza chuki na kupeana matumaini hewa. Ndiyo maana MK254 anakutukaneni sana humu jukwaani.
Unadhani matusi yake yanamuongezea nini au kuwapunguzia kipi hao anaowatukana zaidi ya kuzidi kudhihirisha ujinga na upumbavu ulomjaa
 
Amesema kweli Mwenyezi Mungu aliyetukuka.
Ila nakushauri ndugu gaidi, jifunze basi kuandika kwa kuacha aya sawa, Mwenyezi Mungu siyo mohammad wenu sawa, mohammad alikuwa ni mlala watoto na wanawake wazee so msitulazimishe kufuata ujinga wenu
 
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
Hii haya ya kisenge sana yaani mud katunga kwa ajili ya kujenga Arab supremacy
 
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
Gaidi ukimwamini Yesu utakuwa mtumishi wa Mungu bora sana
 
Sisi wenyewe tunajua ila tumefundishwa kuwapenda. Hatujafundishwa mafundisho ya kishetani ya kuwachukia ndio maana mkipata shida mnakumbilia ulaya na mnapokelewa ila sio uarabun
Una uhakika Ulaya ni wakristo?
 
Kafiri usifanye marinara ukifa utakuwa kuni
Kama Yesu yupo motoni itakuwa hivyo...
Lakini huyu Yesu aliyefufuka na yupo mbinguni kwa Mungu nitahofu nini?

Nyie Hamas Malaria 2 FaizaFoxy na Hamas wengine, natamani mngemjua Mungu wa kweli, mngekuwa watu wema sana.

Yesu anatafuta watu kama ninyi ili mmwabudu, karibuni kwa Yesu.
Kuanzia leo nitawapenda, nyie watu wazuri sana😂😂😂
 
Kama Yesu yupo motoni itakuwa hivyo...
Lakini huyu Yesu aliyefufuka na yupo mbinguni kwa Mungu nitahofu nini?

Nyie Hamas Malaria 2 FaizaFoxy na Hamas wengine, natamani mngemjua Mungu wa kweli, mngekuwa watu wema sana.

Yesu anatafuta watu kama ninyi ili mmwabudu, karibuni kwa Yesu.
Kuanzia leo nitawapenda, nyie watu wazuri sana😂😂😂
Unaigeuza mada kuwa ya Yesu?
 
Nyinyi huwa mnapanga njama lakini Allah ni mbora wa wapangaji na mbora wa kupindua njama zenu.
kama unamuabudu mungu aliekuumba wewe ufanane na mm bado anakuomba ww umsaidie kuwaua wasio mwamin yeye , bas jitafakari ,unamwabudu shetan mkuu , mungu wa kwel kaumba wanadamu wote anasema pendaneni swala la nan hamfuati na nan anamfuata analijua yeye na yeye ndo atatoa hukumu siku ya kihama , UNAMUABUDU SHETANI AMKA USINGIZIN , HATA MAANDIKO YANASEMA YUPO SHETAN ATAKUJA SIKU ZA MWISHO NA ATALAZIMISHA WOTE TUMUABUDU YEYE NA WASIO MUABUDU WATATESEKA DUNIAN KOTE NA NDO LEO TUNAOBA UISLAM UNAVYOUNDA VIKUNDI VYA KIGAIDI KILA SIKU NA KULAZIMISHA WENGINE WAWE WAISLAM AU WAATESE , KUWABAGUA NA KUWACHINJA , WAISLAM AMKEN
 
Back
Top Bottom