akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Picha inaeleza kinachowawasha siyo ubinadamu ni CHUKI DHIDI YA WAYAHUDI NA WAKRISTO tu, huko Darfur waafrika weusi wanachinjwa na waarabu watu wamekaa kimya ila mwarabu mweupe mpalestina akifa kelele tele.