Ya "Unikome" na Idris yashapita: Rosa Ree kacheza X uchi ngoma yake mpya

Ya "Unikome" na Idris yashapita: Rosa Ree kacheza X uchi ngoma yake mpya

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Wiki imekua na mengi sana na bado haijaisha, Ali kiba na style ya nitoke vipi, kalalamika anafanywa na Diamond mchezo mchafu, kashindwa kuvumilia akaamua kuweka wazi anakerwa na huu mchezo kwa kutia msisitizo kwa diamond "UNIKOME" huenda kiba ana kipaji cha taarabu sema hapendi show off 😂 😂.

mda si muda idris akajimwabafai afanye utani wake wa kina baraka kwa Magu, Jana kalala central.

Kali kuzidi zote ni kitu kipya kutoka jikoni , Rosa ree kaachia ngoma mithiri ya kucheza mkanda wa ngono "X" kwenye video, yupo mtupu kabisa jicho kalegeza ikidhaniwa kwamba kuna kitu anakihisi kutoka kwa mwanaume aliempakata huku akichezea ch*ch* live bila chenga.....

 
Kwani wakivaa vitenge au yale majoho ya kinaija mziki hausongi? Bora wauze nafsi zao kwa shetani basi tujue moja wapate fame na hela. Sio wanajiacha uchi uchi kwa pesa madafu, watazamaji wenyewe sisi tumechoka na jua hayo mambo wapeleke mbele huku hapa wanajidhalilisha tu
 
Duuu, kazidisha mazee, bila shaka jamaa alikula papuchi wakat fulan wakishut baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom