Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Wiki imekua na mengi sana na bado haijaisha, Ali kiba na style ya nitoke vipi, kalalamika anafanywa na Diamond mchezo mchafu, kashindwa kuvumilia akaamua kuweka wazi anakerwa na huu mchezo kwa kutia msisitizo kwa diamond "UNIKOME" huenda kiba ana kipaji cha taarabu sema hapendi show off 😂 😂.
mda si muda idris akajimwabafai afanye utani wake wa kina baraka kwa Magu, Jana kalala central.
Kali kuzidi zote ni kitu kipya kutoka jikoni , Rosa ree kaachia ngoma mithiri ya kucheza mkanda wa ngono "X" kwenye video, yupo mtupu kabisa jicho kalegeza ikidhaniwa kwamba kuna kitu anakihisi kutoka kwa mwanaume aliempakata huku akichezea ch*ch* live bila chenga.....