Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu.
Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana.
May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea kuja kuleta uhai kwa upande wa Mashtaka. Sivyo basi kwa kule jeshini tunajua risasi za Luteni Urio ni kama zimewash out. Ndiyo uzuri wa kesi ambazo sio za Chamber - wananchi wanaona haki inavyotendeka.
Ningekuwa Kidando ningeshamshawishi DPP Mwakilitalu kuachana na kesi hii katika hatua hii hii. Sijui kama kutakuwa na hata na suala la "kesi ya kujibu" kwa mtumiwa yeyote yule ninafikiri upande wa Mashataka utazidi kuaibika na kukosewa Imani ya utendaji haki Zaidi ya ubambiaji kesi.
Sasa ya Luteni Urio kwa kweli yamenikosha na kunichanganya papo! hivi ilikuwaje akatamka kabisa kwamba "Wale sio Magaidi?". Au kuna mchawi alimloga pale Kizimbani ghafla ghafla. Yaani pamoja na kutamka hivyo bado Mawaili wa Serikali hawaoni tu - hata Jaji naye hajaona. Inafurahisha sana. May be Luteni Urio atakavyokuja kesho atabadilisha na kusema kuwa "Wale ni magaidi".
Za ya Mbowe ni yapi sasa hayo? Mbowe jambo kubwa lililomponza wala sio ugaidi bali ni kutaka Katiba Mpya. Ninaamini hili linaweza kufanikiwa sana iwapo akifungwa. Asipofungwa Mbowe tunaweza tusipate Katiba Mpya kwa sababu tutaona CCM ni wazuri sana wamemsahamehe hadi Mbowe kwa kutumia Katiba hii hii mbovu.
So kwangu mimi kwa minajili ya kutaka Katiba Mpya ninaombea Mbowe afungwe kabisa ili ituume sana na tuweze kuidai katiba isiyo ya kinyanyasaji.
Faida ingine ya Mbowe kufungwa ni kujihakikikishia kuwa Rais. Nina uhakika Mbowe akifungwa ni lazima kama Mwenyezi Mungu atamwezesha kuishi sana ni lazima atakuja kuwa Rais ya nchi hii. Mtakuja kunikumbuka!
Mwisho ninaona tunazidi kuendelea sana. Nchi yetu tupo juu sana. Siku ya kuzaliwa Rais inakuwa Sherehe ya KiTaifa. Sijui kuna mfano wa nchi gani ingine inayofanya hivyo duniani? Tupo juu sana! Hii inasababisha tuupende Zaidi URais kuliko hata kupenda kuwatumikia wananchi.
Ninakumbuka Bosi wangu Fulani hivi hakuwa na utamaduni wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa na hivyo siku moja tulivyomshtukiza nayo alishtuka sana kwa sababu hakuwa anajua kabisa! yeye kwake ilikuwa ni kila siku ni sawa na siku ya kuzaliwa so issue ilikuwa ni kupiga kazi kwenda mbele!