Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...πΊ
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...π€
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...πββοΈ
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...π
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....π€£
Na kamshika kweli kweli hapo anatapa tapa π€£Mchepuko huyo
Nacheka kwa sababu hicho ni kitu cha kawaida sana mzee wewe kinakuumizaje kichwa ππUsicheke mkuu...π«€
Ni huzuni kwakweli! Uzuri natumahi mkewe nae ana mtu wake nje anayemfikisha kileleni.Na kamshika kweli kweli hapo anatapa tapa π€£