Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...🙇♂️
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...😂
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....🤣
Si umeoa wewe 🙌
Njoo univuruge basi...😋
Hawa wanaume kah! 😝
Mchepuko GenZ 🤣Mchepuko huyo
Watoto wako wataachiwa urithi wa kutoshaaWeka mzigo nije chap,, kwa sasa niko msasa
Kwanini usisafiri nae?Mimi niko safarini mtanilaumu bure tu😐
Watoto wako wataachiwa urithi wa kutoshaa
Tafadhali usichanganye Wanaume na Wavulana,Hawa wanaume kah! 😝
Sawa 😝Tafadhali usichanganye Wanaume na Wavulana,
Hao ni watu wawili tofauti kabisa na hua wanapimwa kwa matendo yao na sio kwa umri wao.