Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...πΊ
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...π€
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...πββοΈ
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...π
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....π€£
Si umeoa wewe π
Njoo univuruge basi...π
Hawa wanaume kah! ππ€£π€£
Mchepuko GenZ π€£Mchepuko huyo
Watoto wako wataachiwa urithi wa kutoshaaWeka mzigo nije chap,, kwa sasa niko msasa
Kwanini usisafiri nae?Mimi niko safarini mtanilaumu bure tuπ
Watoto wako wataachiwa urithi wa kutoshaa
Tafadhali usichanganye Wanaume na Wavulana,Hawa wanaume kah! π
Sawa πTafadhali usichanganye Wanaume na Wavulana,
Hao ni watu wawili tofauti kabisa na hua wanapimwa kwa matendo yao na sio kwa umri wao.