Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Daktari anaposema nina bacteria kwenye damu anakua anamaanisha nini hasa?

Nyafwili Pendaelli Castr Dr am 4 real PhD
Binafsi siyo medical personnel. Nitakuongopea nikikujibu, kama umeona nachangia mada za afya ni kwakua ninahusika zaidi na psychotherapy na ishu za takwimu maeneo ya hospitali. So kwa upande huo am empty.

I hope uliowatag watakupa majibu sahihi, pia daktari akiongea kitu usipoelewa usisite kumuuliza.
 
Mbandue
 
Nina swali pia kuhusu psychotherapy ila ni binafsi
 
Huyu ana options kibao tumuache kwanza!
Wacha kumzibia mtu we binti, options kibao unazijua? Unamfukuza mtu kabla hajaanza? Halafu options kila mtu anazo, hata wewe unazo, ila akija mtu aliyeko tayari unamnyakua tu!
 
Wacha kumzibia mtu we binti, options kibao unazijua? Unamfukuza mtu kabla hajaanza? Halafu options kila mtu anazo, hata wewe unazo, ila akija mtu aliyeko tayari unamnyakua tu!
Sasa babu unajuaje hayo yote wakati huna taarifa yoyote kutuhusu? Mimi sijui kama anakosa ukinitoa hapo! Binafsi napenda wazee kama wewe๐Ÿ˜Ž
 
Nimechoka sasa, nafanya mpango min -me aokote dodo. Hakuna namna binti sayuni asituletee mambo yake.. mimi na wewe tutaendelea hivi hadi utakaponipeleka milimani๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Aaaah we! Mke mwenza na mimi damu damu๐Ÿคฃ usitutenganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ