Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani



kwa kitaalamu huitwa bacteremia.

Kwa kawaida,
Mtoa huduma ya afya ama Daktari anaweza kuagiza blood culture ili kubaini aina ya bakteria waliopo kwenye damu na kuchagua antibiotiki inayofaa....

Bakteria wanaweza kuingia kwenye damu kutoka sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano: UTI, Nimonia, jipu/kudonda, matumizii ya drip na catheter, ma ambukizi ya meno na fizii..
 
Mkuu hujamkula vizuri
 
Na dokta alinielezea hivihivi! Sema sikutaka kuendelea kuuliza sana kuna mgonjwa wa dharula alikua nje
Ina madhara gani?
 
Tusitishane kwenye mambo ya msingi allooo...
 
Na dokta alinielezea hivihivi! Sema sikutaka kuendelea kuuliza sana kuna mgonjwa wa dharula alikua nje
Ina madhara gani?
hicho ni kipimo cha mkojo kama ilivyo UPT au HIV TEST
 
Mimi nilipima damu na mkojo
ahaa ni sawa ila hicho kimeegemea kwenye mkojo zaidi,,, itakua walivyopima hiyo dam ndo wamegundua una hiyo shida ulosema Kule juu

mara nyingi wadudu wanaingia kwenye mwili wa binadam kwa njia tofauti sio moja pekeake kama alivyosema 4real na madhara sio makubwa sana endapo utawahi kupima na kupata dawa sahihi ya kuua hao wadudu,, zaidi ni kwamba utakua unapata homa za hapa na pale plus maumivu ya viungo kwasababu kinga ya mwili imeanza kushambuliwa,, ila sio kwamba utakufa au kupata tatizo Zito

sijui kama nitakua nimekujibu au bado bt nimejaribu
 
Upo sahihi nina hizo dalili nilipewa na dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…