Ukisikia bhudogo ndo huu sasaYaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Maneno ya kejeli sio mazuri mkuu, kuna watu wengi wamepoteza maisha kuwa na utu japo kidogo,woote ni watanzania usichukulie kuwa ni maadui zako.Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Mchekea mwana kulia hulia yeye!
Heche anavuta bangi ya Tarime kutoka kwa Walenchoka. Yaani hawa mabazazi walidhani tutawabembeleza?Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Mchekea mwana kulia hulia yeye!
sawa mke wa hecheHeche anavuta bangi ya Tarime kutoka kwa Walenchoka. Yaani hawa mabazazi walidhani tutawabembeleza?
Vyama 17 vilishiriki na baada ta uchaguzi walitoa kauli kukubali matokeo. Heche ni nani leo kutoa kauli ya kukataa??
Hili ndiyo tatizo tuliwaambia Januari 2025 kuwa mmemtoa Mbowe CHADEMA na chama mmewakabidhi vichaa wawili
Wewe nani wa kumzuia kupost? Au nawe ni mmoja wa wahuni wa 29/10. Nyie mabazazi tulieni mpaka 2030, sisi tumechagua kujenga nchi chini ya Samiamkuu siyo lazima upost, mambo mengne yanakuzidi umri chief.
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Mchekea mwana kulia hulia yeye!
Takataka 🚮🚮Wewe nani wa kumzuia kupost? Au nawe ni mmoja wa wahuni wa 29/10. Nyie mabazazi tulieni mpaka 2030, sisi tumechagua kujenga nchi chini ya Samia
Wewe nani wa kumzuia kupost? Au nawe ni mmoja wa wahuni wa 29/10. Nyie mabazazi tulieni mpaka 2030, sisi tumechagua kujenga nchi chini ya Samia
kwani nimemzuia au nimemshauri?, umetoka kusagwa na tutusa la kizimkazi siyo?, naona hakukufikisha bado una nyege, come n suck my dick.Wewe nani wa kumzuia kupost? Au nawe ni mmoja wa wahuni wa 29/10. Nyie mabazazi tulieni mpaka 2030, sisi tumechagua kujenga nchi chini ya Samia
Takataka ni Heche na CHADEMA. Chadema angalie msije tuingiza mkenge na hao wafadhili wenu huko nje tukawa kama Congo. Maana sielewi mnavyowasema hao UN au UMOJA WA MATAIFA mnanipa mashaka tafadhari chadema Tz hii ni yetu sote hata Walibya sasa wanaliaTakataka 🚮🚮
Kwani wao sio wananchi, mnapoanzisha thread muwe mnaangalia na maudhui ya mada yenyewe kama yana sense.Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Mchekea mwana kulia hulia yeye!
Hawa jamaa Kwa Sasa wapo wengi walipewa semina kabisa na wanakula posho kufanya hiko wanachokifanya mitandaoni usitumie nguvu sana kushindana nao wapo kazini haomkuu siyo lazima upost, mambo mengne yanakuzidi umri chief.
Heche ana akili zile zile wa vijana wa Gen Z, miezi yote kuelekea uchaguzi mkuu wao waliishia kuja na bandiko la 'no reform no election'.Heche anavuta bangi ya Tarime kutoka kwa Walenchoka. Yaani hawa mabazazi walidhani tutawabembeleza?
Vyama 17 vilishiriki na baada ta uchaguzi walitoa kauli kukubali matokeo. Heche ni nani leo kutoa kauli ya kukataa??
Hili ndiyo tatizo tuliwaambia Januari 2025 kuwa mmemtoa Mbowe CHADEMA na chama mmewakabidhi vichaa wawili
Unaujua uchaguzi janja.Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?
Mchekea mwana kulia hulia yeye!