PostGE2025 Yaani chama kilichogomea Uchaguzi leo kinatamka hakimtambui Rais?

PostGE2025 Yaani chama kilichogomea Uchaguzi leo kinatamka hakimtambui Rais?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kusema jambo silazima kiwe kilishiriki kikubwa ni kimesajiliwa

Pia katika yote kimeongea hilo ndo umeona
 
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.

Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?

Mchekea mwana kulia hulia yeye!
Mwisho wa CCM ni mbaya sana, hamjui kinachokuja mbele yenu. Juzi hapa mlikuwa mnashangalia Dunia imeona D9 Kuna utulivu. Baadae mataifa ya nje yametoa tamko kwamba mlitisha watu wakae ndani mnafikiri watu ni wajinga kama nyie ama wanaongozwa na mahaba kama nyie.
 
Heche anavuta bangi ya Tarime kutoka kwa Walenchoka. Yaani hawa mabazazi walidhani tutawabembeleza?

Vyama 17 vilishiriki na baada ta uchaguzi walitoa kauli kukubali matokeo. Heche ni nani leo kutoa kauli ya kukataa??

Hili ndiyo tatizo tuliwaambia Januari 2025 kuwa mmemtoa Mbowe CHADEMA na chama mmewakabidhi vichaa wawili


Wendawazimu mashetani mliojaa mioyo ya uuaji, mnatiana moyo, lakini mjue kuwa shetani mnayeishi naye rohoni mwenu kuna siku atajiweka pembeni ili mpokee adhabu mstahiliyo.

Nawapongeza wote wenye roho wa Mungu wanaolaani mauaji na kuwaunga mkono wote wanaopigania haki ya nchi hii, na kutaka kuikomboa kutoka mikononi mwa maharamia wadhulumaji haki za Watanzania, yaani hawa wauaji.
 
Mwisho wa CCM ni mbaya sana, hamjui kinachokuja mbele yenu. Juzi hapa mlikuwa mnashangalia Dunia imeona D9 Kuna utulivu. Baadae mataifa ya nje yametoa tamko kwamba mlitisha watu wakae ndani mnafikiri watu ni wajinga kama nyie ama wanaongozwa na mahaba kama nyie.
Kwani kwa watu kukaa ndani imevunjwa sheria gani ya kimataifa?
 
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.

Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa?

Mchekea mwana kulia hulia yeye!
Mimi sijapiga kura na simtambui Raisi wa tume ya uchaguzi aliyoichagua mwenyewe....
 
Back
Top Bottom