Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Sasa wewe na huyo aliyekutumia hiyo picha mnatofauti gani? hata wewe umeituma huku! halafu kwa mujibu wa bandiko lako,huyo aliyekutumia picha sio type yako,so ina maana angekua wa type yako hiyo picha ingekua poa tu kutumiwa?

Kingine huyo mwanaume alikuona tabia yako ndio maana akawa comfortable kukutumia hiyo picha,ungejiweka kiheshima asingethubuku kufanya hivyo,jiheshimu,heshimu wenzako ndipo utakapo heshimiwa.
 
Una mihemko
Hakuna picha
Maana ya kawa
Haina mikunjo
Mikunjo yetu
Tuwapo gheto
Tuliza mshono
Tuliza nyegezo
Picha si lolote
Hisiazo ni ngono
Ndo sababu yake
Wakurupuka tu
Punguza mhemko
Picha ya kawa tu

Bazazi
 
Avatar yako tu jamani, mi hoi!
 
Kaanzia mbali kweli chai kama zote ungesema kwa kifupi tu kuwa "hiyo stylle wadada wenzangu mnaipenda??"
 
Naunga mkono hoja, mwanamke anayewatangaza vibaya wanaume wanaowatongoza iwe verbal or non verbal huwa siwasikilizi unless awe bikra, hajawai kumvulia mwanaume yoyote kyup!
 
Hip ni yoga tu
 
Unatafuta huruma tu hapa, ww ni mtu mzima ulicho shindwa kunielewa ni kitu gani sasa??? Jitu zima ovyo kweli sikudhani kama una akili za kitoto namna hii....
 
Ningelikuwa ndiye niliyekutumia hiyo picha wallah ningelikulala!

Umekaa mjni bwerere hata haujifunzi jinsi mfumo mzima wa mapenzi ulivyo!

Unawezaje kumtukana mtongozaji? Hiyo hasira uliitoa wapi?

Wenzako wasipotongozwa hujisunda kwa waganga wa jadi matapeli kuliwa hela na wakitongozeka hufurahi na kukenua meno kwa furaha!

Wewe una nini cha ziada ya mwanamke?
Hata bikira haikupi jeuri ya kujivuna na kufokea watu wasikutongoze!

Ukali wako huo kwangu ingelikuwa ni fursa ya kukupata! Ningeliweka mazingira ili matusi yako hayo yapate ushahidi wa kunidhalilisha mahakamani.

Ndiyo hapo ungeniomba kesi iishie nje ya mahakama kwa kuvuliana chupi.

Nisinge kuogopa kwa cheo, nisingelikuhurumia wala kukuonea aibu, lazima ningelikulala kwa ridhaa yako na usingeleta mada yako hapa kamwe.

Huyo kijana aliogopa kwamba katongoza mkaguzi!

Kwangu mimi hata ungelikuwa ni waziri ungenyoosha maneno tu.
 
kwa kuwa hiyo picha haionyesi tendo la ngono likifanyika acha niamini ya kwamba huyo jamaa amekusudia style ya mazoezi ya viungo 😎😎😎
 
Kwaiyo na yeye ameituma huku, Kwa kuwa jf ndo type yake, au members wa jf ndio type yake.
 
Pambaffff wee usichojua hapo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…