Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Avatar yangu au ya mtoa mada😂😂mbona avatar yako haisadifu unayoyasema.
Sasa me mkono unasadifu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar yangu au ya mtoa mada😂😂mbona avatar yako haisadifu unayoyasema.
😲Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu
Like somehow you were interested 😂😂😂By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?
Una mihemkoWanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
kwani kwenye iyo picha hakuna mikono?Avatar yangu au ya mtoa mada[emoji23][emoji23]
Sasa me mkono unasadifu nini?
Avatar yako tu jamani, mi hoi!Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
mkuu heshima kitu cha bure, kwahiyo unatuchukuliaje sisi hadi umeamua kutuwekea huu ujinga hapa!? shenz type.
Huyo si anafanya zake yogakwani kwenye iyo picha hakuna mikono?
Naunga mkono hoja, mwanamke anayewatangaza vibaya wanaume wanaowatongoza iwe verbal or non verbal huwa siwasikilizi unless awe bikra, hajawai kumvulia mwanaume yoyote kyup!Kesho ulete uzi ukiwasifia na jinsi unavyojichekea hovyo kama mwehu kwa wale unaowakubalia.
Wewe ni type ya wanawake wanaotangazaga kutongozwa (wale usiowapenda) kumbe ni malaya wa kawaida kabisa.
Unajifanya una adabu umejuaje kuwa style hiyo imatengua kiuno. Wanawake wa uswazi taabu Sana.
Hip ni yoga tuWanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Kwaiyo na yeye ameituma huku, Kwa kuwa jf ndo type yake, au members wa jf ndio type yake.Sasa wewe na huyo aliyekutumia hiyo picha mnatofauti gani? hata wewe umeituma huku! halafu kwa mujibu wa bandiko lako,huyo aliyekutumia picha sio type yako,so ina maana angekua wa type yako hiyo picha ingekua poa tu kutumiwa?
Kingine huyo mwanaume alikuona tabia yako ndio maana akawa comfortable kukutumia hiyo picha,ungejiweka kiheshima asingethubuku kufanya hivyo,jiheshimu,heshimu wenzako ndipo utakapo heshimiwa.
Pambaffff wee usichojua hapo ni nini?Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.