Yaani hadi hapa unatafuta mchepuko?

Yaani hadi hapa unatafuta mchepuko?

Nenda tu tena taraka zao zinatolewa kirahis unaweza oa asubuh ukampata taraka mchana, jion ukaoa mwingne. Ila bado haizuii kuchepuka
Waonaje tukienda sote..😉
 
Mkuu huko tutafunzwa Sasa si Kuna mafunzo ya mtume!..😂
Twende ili nimwambie ninae ende kumuoa kwenye mahar aseme nitoe qoran tu . Dah maisha yamekuwa magum ile mil 3 ambayo wazazi wangeisema tukafanyie biashara
 
Mfalme suleiman alikuwa nao mia nane na bado akawa na michepuko 300 sembuse hao wanne.
 
Back
Top Bottom