Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas
Hatimae hamas wamefanya kile wanachoweza vizuri, unyama na ukatili. Madogo wamekufa, assets za taifa katika kilimo zimepotea ila maisha yanaendelea ni kama hakuna kilichotokea.
Vinavyotrend ni misso missondo, walioenda dubai, mademu wa chongolo na muendelezo wa kushare picha za makalio makubwa.
Unajiuliza maswali mengi, tumepoteza vijana wawili wakiwa chini ya utekaji wa kundi lenye misimamo ya kigaidi lakini wanatusemea na kulaani ni watu wa mataifa ya nje ila huku kwetu inachezwa downlow kama vile hakuna spark yoyote.
Kama vile ilivyo jadi yetu tangu enzi kuzoea matatizo na ujinga wetu sasa hapa napo inatumika fursa hii ili waru wapotezee kiaina na maisha yaendelee. Yani tunaona kawaida tu lakini ipo siku itakuwa juu yako alafu uone jinsi mamlaka na jamii wanavyopotezea ishu yako then usikilizie maumivu na uchungu.
Clemence na Joshua, rest easy fellas.