Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Umehitimisha kuwa hawa wa tz walotekwa na Hamas ni waajiliwa wa wazayuni?

Wapi umelisoma hitimisho hilo na hata kuwa eti ni langu ndugu?

Aghalabu HAMAS anapambana na mwizi wake wa ardhi ndani ya eneo hilo chochote kinasalimika vipi?

Niweke wazi hapa wangenikuta humo wala nisingewalalamikia.
 
Ukifuatilia mijadala humu jf utagundua kuwa kila kukicha taifa linazidi kuwa na watu wajinga.
R.I.P ndugu zetu Clemence na Joshua[emoji1488].
Hili linasemwa kila siku humu. Waafrika wengi ni wapumbavu. The don't discuss the things that matter for the countries.
 
Hili linasemwa kila siku humu. Waafrika wengi ni wapumbavu. The don't discuss the things that matter for the countries.
Tunakoelekea ni kubaya kuliko tulikotoka, Africa tulibalikiwa resource na kila kitu kizuri ila watu wake sasa akili hamna.
 
Poleni Watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito. Samahani, huko Israel walipelekwa vijana wangapi kusoma hicho kilimo? Wamefanikiwa wangapi kurudi nyumbani?
 
Andamana kwani kuna mtu kakuzuia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri sisi tunaiona dini yenu kupitia ukatili wenu,majibu yenu ya dhihaka na kejeli,jazba zenu inferiority complexities zenu na mambo mengine mengi yanayohusiana na imani yenu ambayo ninyi mnadai mnasingiziwa.Nyie ndio kioo cha imani yenu na mnaitangaza vzr sana.Msituambie tuisome imani yenu sisi tunaona matendo yenu
 
Watanzania wengi wanakufa kila siku hapa hapa nyumbani. Nini tofauti ya kufa ?
Wengi wameuwawa na wazuru huko SA na haijawahi kuwa ishu. Kwa nini hii iwe ishu kubwa?
Kuna wengine wanasombwa na maji ila hata siwajui, sasa kwa nini nishughurike na wa ughsibuni wakati wa hapa nyumbani tu sina mda nao.
Miezi miwili iliopita mama yangu mdogo amekufa, mbona dunia haijastuka !
 
Waafrika na Watanzania wamepumbazwa na imani zao.

Utaifa wao umebomolewa, imani zao zinapigania Roma, Jerusalem, Mecca na Karbala

Tazama nchi za kiafrika zimegawanyika kwa sababu ya imani za kigeni kiasi hawajaliani wao kwa wao na wanaweza kuchinjana kama kule Nigeria kwa sababu ya kukumbatia imani za kigeni

Tuna tatizo kubwa sana nchi hizi za bara la Afrika.
 
Mzee Loitu Mollel akihojiwa na kituo cha televisheni cha PBS News Hour cha Marekani kuhusu mwanae Joshua Mollel ambaye hadi sasa hajulikani alipo

View: https://m.youtube.com/watch?v=K-sfcAuY3lc
But of the 240 hostages, dozens were migrant workers from Thailand, the Philippines, Tanzania and Nepal. Nick Schifrin has some of their stories.
 
Hilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
naamini siku ukiambiwa na waraabu uwasaidie kuivamia tanzania hata kama hatuna hatia utawapa ushirikiano wakutosha. Alla akujhalie siku njema sn
 
Hilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
naamini siku ukiambiwa na waraabu uwasaidie kuivamia tanzania hata kama hatuna hatia utawapa ushirikiano wakutosha. Alla akujhalie siku njema
 
Jibu kwako Palestina imevamiwa tangu 1948. Oct 7 ni moja tu katika jitihada nyingi za kujikomboa tokea zama hizo.

Jinafasi usome hapa kuona waungwana wanavyosema:

View attachment 2842118

HAMAS, umkhonto we sizwe, mau mau, SWAPO, ANC ZANU PF, RPF, FRELIMO, NRM, RPF, POLISARIO, nk lao Moja.

Harakati zao za ukombozi zilitumia na zinatumia nguvu leo.
Sitaki kubishana na watu mnaofuturu maharagwe baada ya kushinda siku nzima na njaa.............umeulizwa tarehe 7 October unapanua miguu mpaka na pua kutoa jibu........mwalimu wako alipata tabu sana kudili na mtu dizaini yako........
 
Nani anataka kubishana na wewe mbumbumbu mbatata uliye na embe kichwani badala ya ubongo?

Israel Gaza war: History of the conflict explained

Umejibiwa vita siyo vya jana Wala Oct 7. Umepewa hadi rejea. Ulipo huna rejea yoyote.

Ulitaka ujibiwe ulivyoaminishwa na askofu Rashidi?

Wewe mwalimu wako hakumudu kukufundisha hata kidogo. Heri angefundisha ngedere.

Hufundishiki.

Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom