Almagedon
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 197
- 215
mpaka sasa umepeleka wanajeshi elfu ngap kusaidia hamas?Nitagawanya jeshi kote kote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka sasa umepeleka wanajeshi elfu ngap kusaidia hamas?Nitagawanya jeshi kote kote
Hamas wanajifcha sehemu yenye raia WA kawaida Sasa Israel itaacha kuwashambulia? Mfano Hamas wabahamishia kambi hospitalini na kuanzsha mashambuliz kutokea hapo je Israel itaacha kuwashambulia Kisa wapo hospital?Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:
1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.
2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?
3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?
4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?
Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.
Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Hamas wanajifcha sehemu yenye raia WA kawaida Sasa Israel itaacha kuwashambulia? Mfano Hamas wabahamishia kambi hospitalini na kuanzsha mashambuliz kutokea hapo je Israel itaacha kuwashambulia Kisa wapo hospital?
Wapambane hko lkn kwann uue MTU asiyehusika tena kwa maksud kabisa ?huyo Mtz Ktk vídeo anaonekana kabisa anajitetea lkn magaaid yakamuua huku yakisema Allah AkbarIsrael ni mwizi wa ardhi ya Palestina.
Palestina hana haki ya kupambana na mwizi wake?
Mwizi wa ardhi ya Palestina anayo haki ya kupambana na mdai chake?
Wapambane hko lkn kwann uue MTU asiyehusika tena kwa maksud kabisa ?huyo Mtz Ktk vídeo anaonekana kabisa anajitetea lkn magaaid yakamuua huku yakisema Allah Akbar
Wajukuu wapo wengikijukuu cha hayati mudi