Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Usiangalie yeye dini gani mkuu, wewe jibia hivo vifungu vyote then ndo tuone hapoKwa akili hizi lazima ww utakuwa ni muislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiangalie yeye dini gani mkuu, wewe jibia hivo vifungu vyote then ndo tuone hapoKwa akili hizi lazima ww utakuwa ni muislamu
Kwa akili hizi huko middle east acha waendelee kuuwana tuNyerere alifanya vile kwakuwa alikuwa socialism na alikuwa anaonyesha kupinga chochote mabepari wanachokidapot, Leo hii Putin anamarafiki kibao waarabu anaonyesha upinzan flan lakin siyo kutoka moyon anapritend tuh.huwez ukazaliwa mkristo ,ukakulia ukristo still ukampinga myaud utakuwa unashida ya akili
Kwa akili hizi huko middle east acha waendelee kuuwana tu
kijukuuu cha hayati mudiHivi ilikuaje kuaje hadi hawa ndugu zetu wakajikuta wanakua wahanga wa ugomvi kati ya Israel na Palestine/Hamas? Je walikua ni miongoni mwa wale waliokutwa disco? Anyways hili liwe funzo kwa serikali kuwahusia vijana wanapopelekwa nje wafanye kilichowapeleka.
Andiko zuri,hongera sana.Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k
Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.
Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.
Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.
Amen
kijukuu cha hayati mudiwengine tulikua tunauliza idf analipua mabovu akiwalenga kina nani majibu hayapatikani, maana mtu mwenye akili timamu huwezi lipua hovyo hovyo wakati hujui mateka wapo wapi,
Na kukazia 7 oct, raia waliouwawa pale israel ilikua kwa ushirikiano wa hamas na jeshi la israel idf kwa maana pande zote ziliua raia
Na kwa uongo uliokithiri wa idf kufahamu hawa watz wenzetu wameaga vipi dunia ni ngumu
kijukuu cha hayati mudi
Kwahiyo ww unaongelea Wayahudi unawajua ?ebu tuambie kitu chochote unacho kijua kuhusu wayahudi.Wewe huwe
Mimi siwezi zungumzia uislam coz siufaham lakin ni mkristo na najua nachozungumza,wewe unajifanya uanajua mambo ya mashariki ya kati kuliko wa waraab wenyewe
hivi kule westbank napo hua mnafatilia watu wanavodondoka?Sasasn wale watu weusi waliuliwa sababu ya DINI ZAO AU UTAIFA WAO???? hamas ni magaidii wanapost picha za watoto wao wakiwa wameuwawa ila wamesahau wao ndo walianza kuua wengineee...
Sijajua kwa nn tunawalaumu Israel tunawaacha palestina na hamas .Maana Israel kachokozwa kama wewe ungenyamaza?Pili kinawashinda nini Palestina kuwatoa hao hamas maana ndo wanaosakwa na Israel. KAMA HAWATAKI KUWATOA ISRAEL AKIWASAKA NN SHIDAMkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:
1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.
2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?
3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?
4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?
Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.
Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Sijajua kwa nn tunawalaumu Israel tunawaacha palestina na hamas .Maana Israel kachokozwa kama wewe ungenyamaza?Pili kinawashinda nini Palestina kuwatoa hao hamas maana ndo wanaosakwa na Israel. KAMA HAWATAKI KUWATOA ISRAEL AKIWASAKA NN SHIDA
Bado nasubiri jibu mkuuUshapewa jibu ? Maana nalingoja pia, kufupisha usomaji comment..
Yaan kozi ya miaka unataka nikuambie kwa SMS bibilia zimezagaa uko mitaani chukuwa jisomee utakaposhindwa kuelewa tuulize Sisi tukuelewesheKwahiyo ww unaongelea Wayahudi unawajua ?ebu tuambie kitu chochote unacho kijua kuhusu wayahudi.
Au tuambie nyinyi wakristo na Wayahudi mna uhusiano gani wa kiimani.
Sikiliza Mzee nyerere alikuwa anaendesha taifa kwa emotional zake ambapo nyie mnaita usawa pathetic! Yeye na upumbavu wake na wajinga waliokuwa wanamsapoti walisababisha nchi hii ikawa kati ya nchi kumi maskini kabisa dunian. Sasa usiniambie watanzania hatukuwa na akili kiasi icho duniani. tushukuru mungu viongozi waliokuja waliachana na Sera zake za kimaskini jeuri na kuanza kucomply na system zilizopo1. Kwamba watu wote na heshima zao ni wajinga isipokuwa wewe au ninyi mnaotofautiana nao?
View attachment 2843040
2. Kwamba Nyerere mjinga, Mandela mjinga, Afrika Kusini kama taifa wajinga isipokuwa wewe?
3. Kwani wewe una achievement gani labda hao wangekuja kujifunza kwako au kwenu?
4. Unadhani Nobel prize ni sawa na tuzo za BASATA?
5. Si kuwa kumbe wewe labda tujadili yale mambo yetu ya dawa dawa za kienyeji tu?
Sikiliza Mzee nyerere alikuwa anaendesha taifa kwa emotional zake ambapo nyie mnaita usawa pathetic! Yeye na upumbavu wake na wajinga waliokuwa wanamsapoti walisababisha nchi hii ikawa kati ya nchi kumi maskini kabisa dunian. Sasa usiniambie watanzania hatukuwa na akili kiasi icho duniani. tushukuru mungu viongozi waliokuja waliachana na Sera zake za kimaskini jeuri na kuanza kucomply na system zilizopo
kwani kati ya mtu mwenye asili yako (blk ppl) na kiarabu nani unampa first preorit mfano tanzania iko vitan na nchi za kiarabu zko vtan ila ruksa kwenda kuisaidia arabs pia ruksa kupigania nchi.kipi utachagua apo kiongozHapana, uporaji Ardhi ukemewe bila kuhusisha race...
una mtazamo sana shekhe tena ikibidi tubebe familia zetu sisi waislam waarabu watatupokea kwa hekhma sana af waje na huku tz waue wote waifute kbs tz mana si uzalendo mkbw ni uarabun ndo mana akifa mgambo mmoja tu wa hamas tunampa RIP na dua njema tunampa ila hii mitanzania hatuijui sisi.HUU MTZAMO WAKO SAF SANA MADRASA HUKUKIMBIA.ASANTE NA SKU NJEMA.mtanzania mwenzetu unae fkir kbl ya kuongeaKazikwe nao sasa kama inakuuma sana
Pumbavu
Acha kupangia watu maisha