Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Nyerere alifanya vile kwakuwa alikuwa socialism na alikuwa anaonyesha kupinga chochote mabepari wanachokidapot, Leo hii Putin anamarafiki kibao waarabu anaonyesha upinzan flan lakin siyo kutoka moyon anapritend tuh.huwez ukazaliwa mkristo ,ukakulia ukristo still ukampinga myaud utakuwa unashida ya akili
Kwa akili hizi huko middle east acha waendelee kuuwana tu
 
Hivi ilikuaje kuaje hadi hawa ndugu zetu wakajikuta wanakua wahanga wa ugomvi kati ya Israel na Palestine/Hamas? Je walikua ni miongoni mwa wale waliokutwa disco? Anyways hili liwe funzo kwa serikali kuwahusia vijana wanapopelekwa nje wafanye kilichowapeleka.
kijukuuu cha hayati mudi
 
Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k

Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.

Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.

Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.

Amen
Andiko zuri,hongera sana.
 
wengine tulikua tunauliza idf analipua mabovu akiwalenga kina nani majibu hayapatikani, maana mtu mwenye akili timamu huwezi lipua hovyo hovyo wakati hujui mateka wapo wapi,

Na kukazia 7 oct, raia waliouwawa pale israel ilikua kwa ushirikiano wa hamas na jeshi la israel idf kwa maana pande zote ziliua raia

Na kwa uongo uliokithiri wa idf kufahamu hawa watz wenzetu wameaga vipi dunia ni ngumu
kijukuu cha hayati mudi
 
Wewe huwe

Mimi siwezi zungumzia uislam coz siufaham lakin ni mkristo na najua nachozungumza,wewe unajifanya uanajua mambo ya mashariki ya kati kuliko wa waraab wenyewe
Kwahiyo ww unaongelea Wayahudi unawajua ?ebu tuambie kitu chochote unacho kijua kuhusu wayahudi.

Au tuambie nyinyi wakristo na Wayahudi mna uhusiano gani wa kiimani.
 
Sasasn wale watu weusi waliuliwa sababu ya DINI ZAO AU UTAIFA WAO???? hamas ni magaidii wanapost picha za watoto wao wakiwa wameuwawa ila wamesahau wao ndo walianza kuua wengineee...
 
Sasasn wale watu weusi waliuliwa sababu ya DINI ZAO AU UTAIFA WAO???? hamas ni magaidii wanapost picha za watoto wao wakiwa wameuwawa ila wamesahau wao ndo walianza kuua wengineee...
hivi kule westbank napo hua mnafatilia watu wanavodondoka?

Neno "ugaidi" "terrorism" ni nani hasa wa kupewa jina kama hili yani awe na sifa zipi?

Wazee yusisahau politics ni kitu kibaya sana
 
Hapa ni udini tu ndio umetawala vichwa. Magaidi ni wafuasi wa dini fulani waliojitokeza kutaka kuandamana kuwaunga mkono, kwa picha hiyo tu nani atawalaani magaidi hayo wakati ni wenzao na waliouawa wanaonekana si wafuasi wa dini ya akina ponda waliotaka kuandamana kuwaunga mkono hamas? Udini mbaya sana
 
Kwa maoni yangu mimi naona Israel anaua watu wengi tu afu anamsingizia Hamas ndo kafanya ili lawama, chuki na manunguniko yawe juu yao hamas yeye aonekane msafi na kuhalalisha kile anachokifanya
Kuna uwezekano mkubwa tu wa jambo hilo kutokea ifike pahala Israel asikubaliwe kwa kila kitu anachokisema sema na nchi yetu haina uwezo wa kuhitaji kuthibitishiwa kwa hoja zao daah Dunia hii bhana tabu sana
 
Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:

1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.

2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?

3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?

4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?

Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.

Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Sijajua kwa nn tunawalaumu Israel tunawaacha palestina na hamas .Maana Israel kachokozwa kama wewe ungenyamaza?Pili kinawashinda nini Palestina kuwatoa hao hamas maana ndo wanaosakwa na Israel. KAMA HAWATAKI KUWATOA ISRAEL AKIWASAKA NN SHIDA
 
"Kwanini Israeli analaumiwa ..... ...? Kwanini kutowatoa HAMAS..? Kwanini shida Israeli kuwasaka ...?""

Umeandika vyema na kuuliza vyema. Kuuliza si ujinga. Kwangu post #19 yake darcity imeeleza vizuri sana. Ninakuwekea hapa tena kama rejea labda ikakupa ufafanuzi zaidi:

-------------
"Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k

Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.

Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.

Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.

Amen"

--------------------

Hadi hapo unasema je ndugu?
 
Kwahiyo ww unaongelea Wayahudi unawajua ?ebu tuambie kitu chochote unacho kijua kuhusu wayahudi.

Au tuambie nyinyi wakristo na Wayahudi mna uhusiano gani wa kiimani.
Yaan kozi ya miaka unataka nikuambie kwa SMS bibilia zimezagaa uko mitaani chukuwa jisomee utakaposhindwa kuelewa tuulize Sisi tukueleweshe
 
1. Kwamba watu wote na heshima zao ni wajinga isipokuwa wewe au ninyi mnaotofautiana nao?

View attachment 2843040

2. Kwamba Nyerere mjinga, Mandela mjinga, Afrika Kusini kama taifa wajinga isipokuwa wewe?

3. Kwani wewe una achievement gani labda hao wangekuja kujifunza kwako au kwenu?

4. Unadhani Nobel prize ni sawa na tuzo za BASATA?

5. Si kuwa kumbe wewe labda tujadili yale mambo yetu ya dawa dawa za kienyeji tu?
Sikiliza Mzee nyerere alikuwa anaendesha taifa kwa emotional zake ambapo nyie mnaita usawa pathetic! Yeye na upumbavu wake na wajinga waliokuwa wanamsapoti walisababisha nchi hii ikawa kati ya nchi kumi maskini kabisa dunian. Sasa usiniambie watanzania hatukuwa na akili kiasi icho duniani. tushukuru mungu viongozi waliokuja waliachana na Sera zake za kimaskini jeuri na kuanza kucomply na system zilizopo
 
1. Kuipiga dongo credibility ya Nyerere nyuma ya keyboard na fake ID bila hata ka CV mkuu hujionei huruma?

2. Kwa credibility au achievement ipi uliyo nayo ndugu?

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

2. Uzi huo umewaangazia wengi, jipange kuupitia si kwa ubaya ndugu.

3. Heshima ni kitu cha bure hasa kwa waliokuzidi umri, mafanikio na hata mchango tu kwa jamii.

4. Heshima si unyonge!
 
Hapana, uporaji Ardhi ukemewe bila kuhusisha race...
kwani kati ya mtu mwenye asili yako (blk ppl) na kiarabu nani unampa first preorit mfano tanzania iko vitan na nchi za kiarabu zko vtan ila ruksa kwenda kuisaidia arabs pia ruksa kupigania nchi.kipi utachagua apo kiongoz
 
Kazikwe nao sasa kama inakuuma sana
Pumbavu
Acha kupangia watu maisha
una mtazamo sana shekhe tena ikibidi tubebe familia zetu sisi waislam waarabu watatupokea kwa hekhma sana af waje na huku tz waue wote waifute kbs tz mana si uzalendo mkbw ni uarabun ndo mana akifa mgambo mmoja tu wa hamas tunampa RIP na dua njema tunampa ila hii mitanzania hatuijui sisi.HUU MTZAMO WAKO SAF SANA MADRASA HUKUKIMBIA.ASANTE NA SKU NJEMA.mtanzania mwenzetu unae fkir kbl ya kuongea
 
Back
Top Bottom