Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:

1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.

2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?

3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?

4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?

Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.

Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Hamas wanajifcha sehemu yenye raia WA kawaida Sasa Israel itaacha kuwashambulia? Mfano Hamas wabahamishia kambi hospitalini na kuanzsha mashambuliz kutokea hapo je Israel itaacha kuwashambulia Kisa wapo hospital?
 
Israel ni mwizi wa ardhi ya Palestina.

Palestina hana haki ya kupambana na mwizi wake?

Mwizi wa ardhi ya Palestina anayo haki ya kupambana na mdai chake?
 
Israel ni mwizi wa ardhi ya Palestina.

Palestina hana haki ya kupambana na mwizi wake?

Mwizi wa ardhi ya Palestina anayo haki ya kupambana na mdai chake?
Wapambane hko lkn kwann uue MTU asiyehusika tena kwa maksud kabisa ?huyo Mtz Ktk vídeo anaonekana kabisa anajitetea lkn magaaid yakamuua huku yakisema Allah Akbar
 
Wapambane hko lkn kwann uue MTU asiyehusika tena kwa maksud kabisa ?huyo Mtz Ktk vídeo anaonekana kabisa anajitetea lkn magaaid yakamuua huku yakisema Allah Akbar

Mtu asiyehusika akikutwa kwenye maeneo ya wizi anajinasua vipi?

Hukusikia mshikwa na ngozi ndiye mla nyama?
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom