Yaani Justin Bieber tunamuona kazeeka mbele ya macho yetu

Hao watu wanapitia maisha magumu usipime
Na kama vile wanasema alikuwa molested basi wakati mwingine anahisi hana thamani sana
"Bora ugali dagaaaaaa kwenye amani.....🎶🎶🎶🎶🎤🎤🎤🎤"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…