Yaani kabisa Viongozi wa Yanga SC ( hasa hasa GSM ) mmefikia kuwa na huu Usanii ili mteke Akili za wana Yanga wawaamini?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu?

Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili ijayo ili na Wao wamuachie Mayele wenu afunge na muonekane mmesajili Jembe kama mlivyofanya kwa Friends Rangers FC na Pan African FC ambao 99.999% ni Wanachama Waandamizi wa Yanga SC.

Upuuzi huu kamwe huukuti Simba SC.
 
GENTA bwana!
 
GSM wanatupiga na kitu kizito kichwan

𝐅𝐀𝐇𝐀𝐌_𝐊𝐖𝐀𝐌𝐁𝐀_......%0A%0A🔘Kwenye... more(1).jpg
 
Mbumbumbu katika ubora wake.
 
Mtunduizi Genta endelea tu kukaanga "conspiracies na fitna" dhidi ya MABINGWA WA KIHISTORIA TANZANIA....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
 
Back
Top Bottom