GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika.
Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali mmetengeneza hili Tukio kwakuwa mmegundua katokea Ligi Daraja la Nne huko Brazil hivyo hana Vigezo vya Kucheza Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania na pia Viongozi wa TFF wamewaambia mumuache haraka kwakuwa Yanga SC wanajiandaa Kuishtaki TFF huko FIFA baada ya kupata Uthibitisho kutoka Shirikisho la Soka la Brazil kuwa Kipa huyo Mbrazili hajatokea Ligi Daraja la Tatu kama mlivyolazimisha na Kutuaminisha bali anatokea Ligi Daraja la Nne la Brazil.
Hovyo kabisa. Na Uongozi wa Simba SC japo Mimi GENTAMYCINE ni mwana Simba SC na naipenda mno Simba SC yangu ila mkifanya tu Upumbavu ( Upopoma ) msitegemee nitawaacha bali nitawasiliba / nitawasema hadi mnyooke kwani Kwangu Mimi sina Msamiati wa Unafiki, Uwoga na Upendeleo.
Mmenikera sana.