Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na ndio wanabaki kudanganyana humu ,na kutukanana wenyewe kwa wenyeweWengi uelewa wa kimpira ni mdogo, mifumo ya uendeshaji & sheria hawazielewi wanabaki kuendeshwa n mahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio wanabaki kudanganyana humu ,na kutukanana wenyewe kwa wenyeweWengi uelewa wa kimpira ni mdogo, mifumo ya uendeshaji & sheria hawazielewi wanabaki kuendeshwa n mahaba
Akina Karibu Tena ndio wahuni usifananishe na uongozi wa Eng Hersi fazaHizi team kwa Sasa hazina viongozi Zina wapiga deal waliojivika udikiteta wa ajabu
Simba Day tarehe 6! Usisahau mshtue na mwenzio.Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika.
Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali mmetengeneza hili Tukio kwakuwa mmegundua katokea Ligi Daraja la Nne huko Brazil hivyo hana Vigezo vya Kucheza Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania na pia Viongozi wa TFF wamewaambia mumuache haraka kwakuwa Yanga SC wanajiandaa Kuishtaki TFF huko FIFA baada ya kupata Uthibitisho kutoka Shirikisho la Soka la Brazil kuwa Kipa huyo Mbrazili hajatokea Ligi Daraja la Tatu kama mlivyolazimisha na Kutuaminisha bali anatokea Ligi Daraja la Nne la Brazil.
Hovyo kabisa. Na Uongozi wa Simba SC japo Mimi GENTAMYCINE ni mwana Simba SC na naipenda mno Simba SC yangu ila mkifanya tu Upumbavu ( Upopoma ) msitegemee nitawaacha bali nitawasiliba / nitawasema hadi mnyooke kwani Kwangu Mimi sina Msamiati wa Unafiki, Uwoga na Upendeleo.
Mmenikera sana.