Nimejaribu kuwasikiliza hawa ndugu ukweli ni kwamba ni kama hawawezi kabisa kufanya kipindi pamoja kwani wana tofauti kubwa sana za kimitazamo na kimisimamo mmoja anajenga hoja kwa kutumia argument za kisomi na mwingine anajenga hoja akitegemea argument za kisela.
Mwajiri wao atafakari upya ili kuipanga timu yake vizuri.
Ila hz mambo za siku hz kipind kimoja kuwa na watangazaj zaidi ya wawili,kuna baadhi ya studio wanakuwepo watu ni zero yaan wapo wapo tu wanapiga kelele
Ila zaman ilikuwa kiboko,mtangazaj mmoja na bado huyo huyo ndo dj na bado ndo producer