Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
WaTanzania wengi sana wamejengewa fikra kwamba wanapaswa kumuona Nyerere ni kama malaika yaani hapaswi kusemwa wala kukosolewa eti kwamba tukimkosoa basi ni udini na utapata matusi,kejeli na kila Aina ya maneno mabaya je mbona tunamsema Magufuli aliyoyafanya na wengi wenu hamlalamiki? Kwamba Magufuli ndiyo anapaswa kusemwa ila mwalimu Nyerere marufuku kumsema?
Tukubali mwalimu Nyerere hakuwa malaika hata kidogo na atasemwa tu yeye kama inavyosemwa alikuwa front line kuleta uhuru nchi hii kwanini asisemwe yale mazuri tutasema ila alipokosea tutasema kwani ubaya upo wapi?
Kuna namna kwenye misingi fulani aliyoacha kwenye nchi alifeli sasa ndiyo lazima tusema na ukisema eti wewe ni mdini mara mvaa kobazi mara kobazi Wana ubaguzi kila aina aina ya vijembe utapewa once again nasema yeye ndiyo kwanamna fulani ni chanzo kwa taifa ili kuwa hivi lilivyo.
# we dare to talk openly#