Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Umekaa na mshikaji au jamaa bar au sehemu nyingine stori zake ni kuongelea maendeleo ya watu wengine. utasikia fulani ana gari zuri, sijui Nyumba tatu , mgodi, mshahara mkubwa, mke mzuri ,
Yaani hazungumzii habari za maendeleo yake au mipango ya maendeleo yeye ni kuongelea na kusifia maendeleo ya wengine tu. Na kujifanya anawajua sana
Wadau watu wa hivyo huwa mnawaepuka vipi, yaani ni shida