G/H
Eva ndo sabuni gani?
Dah kwenda huko sasa wengine hatuendagsoma post namba 4 ukienda G/H utaikuta huko inakusubiri uitumie ukishamaliza mambo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
Kama kunawa nimenawa leo aisee;
Kila ofisi kunawa! Kila chochoro ukipita kuna ndoo na sabuni!
Kibaya zaidi baadhi ya Sanitizer zina harufu kali sana kiasi cha kuleta allergy!
Michanganyiko ya Sanitizer ni pamoja Alcohol (pombe kali); kwahiyo kwa mipako hii ya sanitiser mbalimbali leo harufu yake imenifanya nijisikie kama kulewalewa kutokana na Alcoholic iliyomo, na mwili mzima hapa unanukia mchanganyiko wa manukato nyingiii kiasi cha kuunda harufu ya sabuni ya EVA!
Huko maofisini msiweke sanitizer zenye harufu kali jamani ni HATARI!!!

Nigawie one box.Sa hivi mie navaa gloves,kila baada ya masaa mawili hadi matatu nabadili....nimechoka kunawa kila muda