Aisee!
Kama kunawa nimenawa leo aisee;
Kila ofisi kunawa! Kila chochoro ukipita kuna ndoo na sabuni!
Kibaya zaidi baadhi ya Sanitizer zina harufu kali sana kiasi cha kuleta allergy!
Michanganyiko ya Sanitizer ni pamoja Alcohol (pombe kali); kwahiyo kwa mipako hii ya sanitiser mbalimbali leo harufu yake imenifanya nijisikie kama kulewalewa kutokana na Alcoholic iliyomo, na mwili mzima hapa unanukia mchanganyiko wa manukato nyingiii kiasi cha kuunda harufu ya sabuni ya EVA!
Huko maofisini msiweke sanitizer zenye harufu kali jamani ni HATARI!!!