Yaani Lisu kugombea uwenyekiti imeonekana kuwa nongwa sana

Yaani Lisu kugombea uwenyekiti imeonekana kuwa nongwa sana

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Hivi kosa lipo wapi mbona lisu ameonekana kafanya makosa makubwa kuchukua uamuzi wa kugombea Uwenyekiti wa chama..?
Basi Mwenyezi Mungu yeye anaja nani anatakiwa kuwa kiongozi wa hicho Kikoba Cha Mr FAM
Yaani Mimi nikuona Lisu ni kama namuona Mkapa, ni kama namuona Sokoine Moringe, Jpm
 
BInafsi naona Approach yake ya kumsiliba na kumsigina kikatiri FAM ndo inazua taharuki zaidi kiasi kwamba kuna kila dalili za chuki kubwa baina yao na kutakua na wingu jeusi baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom