Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Angalia mashabiki wao siku ya Utopolo Day,waliovaa jezi mpya ni kama 8% tuNa hiyo ndio maana ya utopolo kelele nyingi ,pia usisahau mauzo ya jezi walizo zindua utopolo juzi hawataki kuyaweka wazi maana wanajua ni aibu kubwa mno sisi tunawachora tu
Izo 8% umewapendelea sana walio vaa izo jezi wengi walikua pale VIP tu ila walio baki hakuna kituAngalia mashabiki wao siku ya Utopolo Day,waliovaa jezi mpya ni kama 8% tu
Kwahiyo mpunga wa jezi unaenda ukipandaMrabaha kutokana na mkataba wa jezi wamepata shilingi 120,000,000/= mbona huizungumzii?....mwaka 2019 kwenye mauzo ya jezi walipata million 7,lakini mwaka 2020 wamepata million 45...
Hiyo ni sawa na pesa aliyotoa Fatima Dewji kwenye matangazo ya Mo kwenye jeziMrabaha kutokana na mkataba wa jezi wamepata shilingi 120,000,000/= mbona huizungumzii?....mwaka 2019 kwenye mauzo ya jezi walipata million 7,lakini mwaka 2020 wamepata million 45...
Chukua 120,000,000 gawanya kwa 1300.Hapa watu wa Yanga hutawaona kwenye huu uzi
hesabu za kitopolo hizo. mrabaha ni dau waliloingia Yanga na GSM bila kujali wameuza jezi ngapi. hiyo 1300 ndo itategemea idadi ya mauzo chukua 45m gawanya kwa 1300Chukua 120,000,000 gawanya kwa 1300.
Utapata idadi ya Jezi zilizouzwa.
Mrabaha = royalty.hesabu za kitopolo hizo. mrabaha ni dau waliloingia Yanga na GSM bila kujali wameuza jezi ngapi. hiyo 1300 ndo itategemea idadi ya mauzo chukua 45m gawanya kwa 1300
Simba ishapiga b 2 za mkataba wa jezi mapemaaa
Akili kubwa
Mnadanganyika kirahisi sana.Simba wao wamevuta bilioni 2 kwenye mkataba wa jezi,kwa Yanga kipi kinaahindikana?,ukizingatia Vunja bei ameahidi kuongeza mzigo mkubwa zaidi baada ya mkataba huu wa sasa kuisha.
Aiseeee mbona kama ndogo sana,Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?
Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui.
Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati kabisa. Mnatukosea sana sisi wananchi wenye uelewa. Haya bwana. Hamna shida. Kuna siku itanyesha tutajua panapovuja.
Shadeeya atakua yupo busyHapa watu wa Yanga hutawaona kwenye huu uzi