Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
dogo unaongea usichokijua. Tupe hizo clauses hapa tuzione. mkataba wa yanga na gsm ni 1300 kwa kila jezi na simba na vunja bei ni 1b kwa msimu na umewekwa wazi. hebu fafanua hizo clauses unazosema hapa kwa uwazi basi tuzijadili. ukweli ni kwamba yanga mna maneno tu vitendo ni zero
Tegemea blah blah tu,hakuna jibu la maaana utapata kwa Maswali magumu uliyouliza