Yaani Mauzo ya Msimu mzima wa 2020/21 ya Jersey za Yanga ilikuwa Milion 45?

Tegemea blah blah tu,hakuna jibu la maaana utapata kwa Maswali magumu uliyouliza
 
Kwa hiyo wewe unaamini kwenye mkataba wa GSM na Yanga ni 1300 tu kwa jezi?
Hapo utakuwa unajidanganya.
 
Mkataba umeingiwa baina ya Simba Sports Club company limited na Vunja bei kwa dau la shilingi 1b kwa msimu. ni ajabu bado unahoji hela inaingia wapi hapo wakati mkataba ni wa pande mbili tu na sio zaidi ya hapo. Kumbuka simba kwa sasa ni kampuni
 
Swali: Mo Sport ni kampuni ya nini?
Katika Jezi kuna Vunjabei kushoto kwenye collar, na Mo Sport kulia.
Vunjabei tunaijua ni kampuni ya kuuza nguo za lonya.
Je, Mo Sport ni kampuni ya nini? Wewe unajua uhusiano wa 21st Century Textiles (chini ya METL) na Mo Sport?
Mkuu hapo ni sarakasi tu, sema elewa kama ulivyoelewa, inatosha haitotusaidia sana kimaisha.
 
Hahahahah nilikutana Na wachezaji wa Yanga kwenye birthday ya shikalo....wengi wanashea mageto.....ndo Hawa waliopewa mil500 Kwa Mechi moja?
Au wewe unahisi tunaongelea Yanga ya Mars
Kuna mmoja anakaa tandika amepanga chumba kimoja (stoo) Kodi 30,000/=
 
Hao hawanaga aibu kwenye kuiga ndio maana wanajifananisha na Simba wakati ni bahati wamekuta wanashiriki ligi moja na Simba ila siyo level ya Simba, utakumbuka Utopolo wameiga Simba day
 
Uyo GSM ameshinda kwa shilingi ngapi
 
Mkataba wa yanga na Gsm ni kupewa M300 kila mwaka na kila jezi ikuzwa atapata 1300

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Hao hawanaga aibu kwenye kuiga ndio maana wanajifananisha na Simba wakati ni bahati wamekuta wanashiriki ligi moja na Simba ila siyo level ya Simba, utakumbuka Utopolo wameiga Simba day
wakati simba inafanya tamasha la 13 wao wanafanya tamasha la pili ila kelele kibao utafikiri wao ndio wameanzisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…