Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Yaani ni kama nimetapeliwa,

leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu

Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa

Najuuuutaaa kuwajua zuku
 
Acha ujinga yaani unataka watu wa zuku waje kwako wakati Kuna mafundi kibao mtaani hutaki kuwapa ridhiki ,acha uteseke

USSR
 
Punguza presha .....kaa chini na uboreshe uandishi wako

Maswali kadhaa yakukuhoji
1.Wanajukwaa tukusaidie nn??
2.Hio huduma umetumia kwa muda ganii??
3.Kama kuna ofisi karibu au wahusika ulishajaribu kuonhea nao kwasababu kwa njia ya simu hupati ushirikiano??
 
Back
Top Bottom