Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.

Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.

Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?

Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
 
Wewe ndio the king mwenyewe ivae tu waziri ni nani kwako mpaka akupangie nguo za kuvaa?
 
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.

Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.

Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?

Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Uende na passport tuchunguze uraia wako 🤣 🤣 🤣 🤣

Kwenye mambo ya msingi hakuna kuwekeza nguvu...kwenye porojo ndio tunaitana wazalendo🤣🤣🤣🤣
 
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.

Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.

Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?

Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
-
 
ajabu wakati mimi nilinunua hukohuko misri jezi za al ahly
 
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.

Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.

Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?

Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Tunapoelekea hii Serikali ya CCM itatupangia hadi chupi za kuvaa kwenye mechi
 
Sisi yanga tukiona rangi ya kijani na njano tunajua ni familiar tu ,hivyo itatuongezea nguvu na morale zaidi Wala hatuna wasiwasi na jezi za rangi yetu.
 
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.

Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.

Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?

Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Wewe Popoma acha kutishia watu nyau hapa.

Kwanza wewe ni kunguru tu mwoga! Ungekuwa na ujasiri, kamwe usingekubali kirahisi tu kukatwa sikio na kidole na yule Mzee Cherehani (muuza mihogo maarufu soko la Kawe).
 
Back
Top Bottom